ADULT MIGRANT ENGLISH PROGRAM
JE, WEWE UNASTAHIKI?
Kiingereza Bora
Maisha Bora
Masomo ya bure ya Kiingereza kwa wahamiaji wapya
Kuhusu Adult Migrant English Program
- Unafunzwa Kiingereza halisi kinachokusaidia kwenye maisha yako mapya, kufanya kazi na kusoma katika Australia
- Jifunze jinsi ya kufikia huduma za serikali na jamii
- Pata marafiki wapya ambao walihamia juzi juzi Australia
- Kuwa tayari kufanya kazi au kusoma na kupanga maisha yako ya kesho
Vigezo vya kuingia
- Umepewa visa ya familia, ya watu wenye ujuzi, ya wakimbizi, ya wanandoa au ya visa za muda zilizokubaliwa*
- Huwezi kusema/ kusoma / kuandika lugha ya Kiingereza au una haja ya kuboresha Kiingereza chako.
- Una umri Zaidi ya miaka 18, Baadhi ya vijana wahamiaji wenye umri wa miaka baina 15 na 17 huwenda pia wakastahiki.
*Tafadhali kumbuka kwamba visa zilizokubaliwa kwa muda hazihusishi visa za kazi na likizo, visa za kufanya kazi likizoni au visa za matembezi mafupi.
Njia zingine rahisi za kusoma
- Kusoma kwa muda wote au kwa muda mfupi katika maeneo kote Queensland
- Unawungwa mkono na mwalimu wa kujitolea nyumbakni kama huwezi kuhudhuria masomo kwa muda wote
- Kusomea kwenye mutandao wa kompyuta kupitia kwa mafunzo ya umbali (elimu ya masafa)
Nitajifunza nini darasani?
- Jiunge na darasa kulingana na kiwango chako cya Kiingereza.
- Ungwa mkono na Maafisa wa ushirikiano wetu kwenye jamii na Kesi Meneja wako wa AMEP wakati unaendelea na masomo.
- Jifunze kuhusu lugha inaotumiwa kazini hapa Australia, utamaduni na mazoea
- Pewa masomo ya ziada ya Kiingereza ikiwa umekuwa na elimu ndogo au masuala ambayo anaathiri uwezo wako wakujifunza.
- Pewa huduma ya watoto bure wakati unajifunza Kiingereza (chini ya ustahiki)
- Jiandae kwa ajili ya mahojiano na uandike Resume au CV
Uliza sasa juu ya masomo yetu ya Kiingereza
The AMEP is funded by the Australian Government Department of Home Affairs. In Queensland, the AMEP is delivered through TAFE Queensland.
TAFE Queensland joins the rest of Australia in celebrating International Volunteer Day on December 5th, honouring the countless volunteers who make significant contributions throughout Australia. Among these volunteers is Laura Lombardozzi, who is volunteering in the Adult Migrant English Program (AMEP) and has played a particularly crucial role in assisting Maryna Vyrva.
Ploy Thaowanpiput is living her own Australian dream – raising her family and finding work that she loves.
Toowoomba's AMEP Youth students raised funds for an overnight stay at Camp Cooby, located by Lake Cooby, offering rock climbing, archery, and canoeing.
Suruchi travelled from Nepal to Australia to seek better opportunities and ultimately found her calling within the AMEP team at TAFE Queensland. An initiative she holds close as she understands the challenges and triumphs.
Sophya's inspiring journey from AMEP student to dedicated volunteer at TAFE Queensland is a testament to the impact of the Adult Migrant English Program. Having experienced the challenges of settling in a new country, Sophya is now using her knowledge and experiences to support other migrant and refugee women through the 'Stronger Women, Stronger Communities' program
After a life-changing move to Australia, 18-year-old Pitak found safe ground at TAFE Queensland.
In Rockhampton, three migrants have found employment in their fields since joining the Adult Migrant English Program at TAFE Queensland.
AMEP student Karina is reaching new heights! Her journey from being the first female fighter pilot in Chile to passing the Australian Aviation Exams and resuming her commercial aviation career is nothing short of inspiring.
Monica Agoth is from South Sudan, having relocated to Australia as a refugee with her mother and seven brothers and sisters in August 2003. What followed was a very tough journey of education, working hard and career successes — with TAFE Queensland playing an integral role, every step of the way.
Awards, degrees, and new business ventures: Brisbane refugees are forging impressive pathways after finding settlement support at TAFE Queensland.
After brushing up on her English skills at TAFE Queensland through the Adult Migrant English Program (AMEP), Candice is now working as a dental assistant with Queensland Health.
Escaping genocide in 2014, for Maysaa Shani Baqi the past 10 years have included both challenges and opportunities — from moving to Toowoomba and studying with the Adult Migrant English Program (AMEP) to employment with TAFE Queensland and now a new career focus.